Mimi nimeacha si unaona nawapaga ushindi wa mezani watu wa jf
Kuna mtu alikua ananitukana km CW na videmu vyake vinampa support lkn nikawapotezea wote.
Ss hiv wamechoka sura zimewashuka, bwana wao ananikabidhi simu nasoma msg zao za piem
afu nawachoraaaaa