Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza kukimbia mbio, hata sijui naelekea wapi dadeq... Tumekwishaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kama umechovyachovya una haki ya kukimbia
Kwa humu hapana, kuna nilimtaka kweli kweli lakini gundu linaendelea kunila, nilikula za uso baada ya kutoa ya rohoni[emoji23][emoji23][emoji23], nikataka kwenda bahari Hindi kuoga ila kwa hili sekeseke ngoja nikae na gundu langu tu.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…