Selfika na JF: Snap it. Show it


Duh! Hamjamwambia dada 'Prisca' kuwa kutafutiwa kazi na aliyekupa ngoma kwa makusudi sio mapenzi ya dhati, if anything jamaa anajaribu kupunguza hatia yake.

Anyway, cha msingi dada kakubali matokeo na kasamehe. Baraka kwake.
 
Kwa niaba ya wamama wote; nimetumwa niulize hivi; kwa nini nyinyi wababa huwa mnawapost tu watoto bila sisi mama zao? Tena ikiwa ni kabinti jamani ndo kanapostiwa na kuwa spoiled hadi mama karoho kanashtuka: tunaomba muwe mnatupost na sisi mama zao hata siku moja moja; na sisi tunasikia raha duniani tukipostiwa. Thanks in advance

C.c Hubby
 

Tutafanya hivyo siku nyingine, Asante Kwa kutukumbusha
 
Mama zao wameonya tutunze privacy zao
 

Haha lol noted. Kuna sababu nyingi zinapelekea mama usiwe kwenye picha. Pengine haupo karibu, au labda hutaki, au tunaogopa ukute kuna njemba humu ishawahi tia saini kwenye visitors book halafu iropoke ihatarishe ndoa. Little girls are cute bana, mama zao.....I don't know.

Besides, caring daddies score higher than caring husbands. Catch my drift?
 


Good morning dota.
 
Mtupost tu hata tuviatu au pochi zetu angalau inakumbusha kuwa we exist; mbona sisi hatukauki na "hubby's shoes, hubby's shirt, My man my everything" etc. Ila ninyi wenzetu mnapost tu watoto; tena vikishakuja vibinti; we mothers are completely out of the picture. Poa lakini na sisi tutacompensate na tu" lil-men" twetu. Na sasa hivi ni mwendo wa kufyatua baby boys tu; wa kiume wanakuwaga side ya mama always lol
 
noma kweli kweli
 

Lol sawa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…