Melo amejua kutufurahisha, bado tu kipengele cha voice noteππNilistuka mwanzo
Asiweke video call maana Kuna watu watatusumbua sanaMelo amejua kutufurahisha, bado tu kipengele cha voice noteππ
ππππAsiweke video call maana Kuna watu watatusumbua sana
Au Facebook ππππππ
Kutakua kama snapchat, wale wahindi wanavyopendaga video call
Melo asije akafanya kwel maana patakua hapatoshiAu Facebook ππ
Oteaaaaaa
SijafikapoSaiv piemu kama wasapuni vileπππ
Which Dee?????Dee [emoji3][emoji3][emoji3]
ππππSijafikapo
Ngoja nikupm wewe
Kubayaaaππππ
Nasubiri, au embu piem karatasi hapo tuone
Voice note inakuja na video callππKubayaaa
Hamna voice note mbona πππ
Ndio tusikie hizo sauti za radi πVoice note inakuja na video callππ
Melo ameamua
Which Dee?????
Wengine sauti zetu kama burnaboy sijui itakuwaje [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tumia chrome shogaangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo hiyo ndio nzuri
Sema waweke video, tunaotumia app hawajatutendea haki kabisaa
Tumia chrome shogaangu
Hapanaaaaa nomino yangu inaanza G sio DK