Wala hata mwaya, mie nimekuchagulia vile vitu unapendaShostito muongo weye, mbona naona midume yakugombania humu atii
We wa kunipiganisha na ID mpya mtu wa zamani.Fifi Moto mbona huyu anasema we papai?
Ya kwamba wewe ni mjomba?Papai ndo kusemaje?
Selfika tukuoneSio thana bebe
Ya kwamba wewe ni mjomba?
Mie nimemwambia fifi ni mcute haamini
Embu selfika wakuone mrembo[emoji7]
Akitoka yeye unafuata wewe pisi kaliYa kwamba wewe ni mjomba?
Mie nimemwambia fifi ni mcute haamini
Embu selfika wakuone mrembo😍
Ni kweli shostiWe anikome nina kitobo chenye kiharage
Yeye aseme energy ya moto wa fifi kwake zero atiii
Yah akitoka dada fifi nafata mieAkitoka yeye unafuata wewe pisi kali
Selfika basiiiShostito siye ndo kusema mizimu?
Na wewe uselfike bossSelfika basiii
Ni kweli shosti
Embu selfika mwaya uwafunge mdomo
Wakuone ili wasikufananishe na vitu vya ajabu
Fifi moto huyo😂Shostito siye ndo kusema mizimu?
Nilikumic how are you my dear friend
Fifi moto huyo[emoji23]