Jishikilie nakukumbusha tu, Mwanaume sio madomo wala Mwanaume sio kukaa kibarazani na wanawake kupiga umbea ulipo simu mpaka chupi na cha kunyolea vuzi umenunuliwa na walezi,
Jipange kuwa bora mwanaume sio sex tu na kutomgozana, jua baadae unataka kuwa nani hasa kama unataka kuwa malaya sawa ila otherwise change mtizamo na maisha yako dogo
Hao mademu unaopiga nao story wanapata mabwana sasa na wewe kama utapata bwana haya