Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Basi amani itawale🙏🙏, we bro ni mmoja peace Sana 😂🤣🙏mimi sina shida na huyo mtoto shida nikaa kimya nakuta kaingizaingiza maneno tena,mara ooh baki na hiyo picha sasa imebidi nijiulize huyu mtoto anafikiri watu hatuna familia hadi ni save picha yake... nafikiri hajui wengine tunatumia browser so kucopy picha na kuipest ni rahisi si lazima tuisave
Kweli, na safari ya maisha haijawai kuwa mseleleko... Pambanaaa sanaaaMkuu things aren't going normal any more, tuna jaribu ku withstand tu.
Unipe hata u kibarua Sasa🙏🙏😂🤣Kweli, na safari ya maisha haijawai kuwa mseleleko... Pambanaaa sanaaa
Naenda kukusema kwa EstugoAisee poole
😅😅😅😅mie mwenye kibarua wa Bantu LadyUnipe hata u kibarua Sasa🙏🙏😂🤣
Ukinijua, Nita kusumbua ndotoni😂🤣
Bantu Lady Hana baya😍,😅😅😅😅mie mwenye kibarua wa Bantu Lady
Shida una penda matani🤣😂😂😅😅😅😅mie mwenye kibarua wa Bantu Lady
hamna lolote, nyie ni CIAUkinijua, Nita kusumbua ndotoni😂🤣
Tubaliki picha mkuu😍Ukinijua, Nita kusumbua ndotoni😂🤣
Uselfike sasa, Toto zuri😍😜 NuzulatiNipo mpendwa😍
Natumia tekno 714, naingia jf kwa kutumia Google ya opera mini 😂🤣Tubaliki picha mkuu😍
na wewe muombe kazi hata kudeki chumbani kwake 😅Bantu Lady Hana baya😍,
CIA wa mabati 🤣🤣🤣hamna lolote, nyie ni CIA
Kweli Leo umelewa😂🤣, Hadi sisimizi unatuona mbwa 😂😂hamna lolote, nyie ni CIA
Nywele nzuri sana😍
Duuuuuuh aiseee kitu natural 🔥🔥🔥🔥🔥
Dahhh 🤣😂, ishi sana. I like natural😜
zimetunzika vizuriNywele nzuri sana😍