Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,292
- 4,648
Ndio mafuta natumia.. lotion siweziππOh hayo sijawahigi hata kuyatest ππ
Uhhhhh!!! The cake looks extra yummy!!ππYan kuna muda ukiwaza uspend lisaa jikoni, na mlaji ni wewe tu. Uvivu unajaa chupa π€£
Njoo tuonje kakeki wakati tunangoja pilau iiveView attachment 2692245
Mnyanduano dayView attachment 2692282
For 5 minsβ³ππ
Ila leo ulizidish majiUhhhhh!!! The cake looks extra yummy!!ππ
Kweli huwa inachosha...labda itokee uwe umemiss sana pishi lako mwenyewe!!π₯΄
Njoo tule pilau sasa.....
View attachment 2692308
Sio siku tatu...???πππNaomba nije kuwasalimia
Nitakaa wiki moja tuπ
Siku tatu nakimbilia wapi?[emoji3064]Sio siku tatu...???[emoji16][emoji16][emoji16]
Uje na yule mdada tumfundishe kidogo![emoji23][emoji23]
Ahhh hili lipozi naliiba!!!π€©π€©Ameniziba
Mmasai wangu View attachment 2692264
Limetoka nilivyotaka π―Ila leo ulizidish maji
Ukikaa muda mrefu utapamiss sana kwenu ujue!!!ππSiku tatu nakimbilia wapi?[emoji3064]
Mwee Dokta ,Wakati nataka iwe mwezi kabisa[emoji23][emoji174]
Yule ntamleta akae hata mwezi.
Kumbe ila linaonekana tamu kabisLimetoka nilivyotaka π―
Wakati nataka ikiwezekana nihamie moja kwa mojaπππππUkikaa muda mrefu utapamiss sana kwenu ujue!!!ππ
π€£π€£π€£π€£π€£
Mwezi si atajua mpaka ashinde walimu??? Tumpe wiki tu inamtosha!!!!!
Mwambie hata kuandika hajuiMjep Depal mshamba_hachekwi Poor Brain DeepPond manzi ya Arusha inataka kuniua kisa cool boy poa tu View attachment 2689995
Alisema amesuka katikati tuTuoneπππ
Tuoneshe pilau BasiYan kuna muda ukiwaza uspend lisaa jikoni, na mlaji ni wewe tu. Uvivu unajaa chupa π€£
Njoo tuonje kakeki wakati tunangoja pilau iiveView attachment 2692245
BeautifulView attachment 2692282
For 5 minsβ³ππ
HahahahaMnyanduano day
Jamani poleee!!!!ππWakati nataka ikiwezekana nihamie moja kwa mojaπππππ
Wiki 2 zitamtosha
Hapa nawaza kula,sijui kinalika chakula kweliπ₯Ί
Na Nina njaa
Jikoni si kupo wazi lakini?ππππJamani poleee!!!!ππ
I can imagine unavyopata mawazo muda wa kula ukikaribia na una njaa.π΅π΅
π€£π€£π€£π€£
Chumba cha wageni kipo!! Chamsingi uwe tayari kula lunch/dinner muda wowote, usije ukanisema kwa watu nakutesa!ππ
Qhhahah dah watu mnakejeli aseeeMwambie hata kuandika hajui