πππππ mnaniua mbavu lakiniHuyo nitazaa naye, kuna id nazisubiria aingie tu ninaye khenghe yule.
Nikimalizana naye naanza na wale wazee wasiotaka kuuzeka
πππππyupo mbonaπ
aha, ngoja nijiongezeπ
Kimya nacho ni matusi.Siwezi poteza energy zangu kwa Zero brain, they are not worth it.
Dah uje na izo sometimes mzee ila arusha vyakula bei wali 4000 af haushibi
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ dada zake babaππππ
Saiv wakichora sie tunafuta tu, back to back hakuna kupumzika
Ila nikiwaza nagombana na dada wa baba yangu nachoka nafsiππ
Dada mbona umeniweza uku Arusha chakula si Shibi kabisa nije uko unipikie sotojo
πππππHuyo nitazaa naye, kuna id nazisubiria aingie tu ninaye khenghe yule.
Nikimalizana naye naanza na wale wazee wasiotaka kuuzeka
Halafu nanyie hicho kijemba ni cha kung'ang'aniwa miaka yote?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mnaniua mbavu lakini
Tunatoana mate huku aloo ππ
π€£π€£Dah uje na izo sometimes mzee ila arusha vyakula bei wali 4000 af haushibi
Nani anakang'ang'ania??Halafu nanyie hicho kijemba ni cha kung'ang'aniwa miaka yote?
Fambaf kabisa...mnanichosha
Hahah karibu usogee mitaa hiiTunatoana mate huku aloo ππ
ngoja nimtafute anipe copy yangu aiseeππππππ
Ameenda kukusanya mafile
Kaa mkao wa kula
Hivi ni kafupi au?Nani anakang'ang'ania??
Si tulishakatema, tatizo hakatemeki.. hakaamini km kalikula wa chuya [emoji41]
π€£π€£π€£π€£ af kaneneHivi ni kafupi au?
Ka hovyo balaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
I kanti foshuaaaaaa
Ila give him/ her/ it deserves
Maana sijui ni kamtu au kapapai[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante nakujaaπHahah karibu usogee mitaa hii
Kudadeki nakwambia hivi sinunui chakula tena nitakula matunda tu gest nimevumilia 30k ila chakula.hapanaπ€£π€£
Ujue hapo hiyo soseji 1 ni elf 2500
Sio Dar huku unapata soseji za jero jero
Chips kavu tamu elf 3
Utakoma nakwambia
Sasa dada yake baba alipewa nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] af kanene
Wee usiniambie ππmbona Bei ghaliπ€£π€£
Ujue hapo hiyo soseji 1 ni elf 2500
Sio Dar huku unapata soseji za jero jero
Chips kavu tamu elf 3
Utakoma nakwambia