Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Nabaki nahisia, kuna mwamba humu anamawasiliano mazuri sana na mod wa jf... kuna mahala alisikia namkula manzi wake, wakati sio kweli hata Pm sijawai chart na hiyo manz.. tangia hapo mikosi inaniandama humu
We falla umetafuna wangu wawili, nakuangalia tu.
40 yako inakuja utayafeel maumivu yangu huko uraiani kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nishatengeneza kachumbari
Napiga rada hapa ya nyama
Kumbe umetengeneza kachumbari na huna nyama🀣🀣
At least umejipa motisha lakini
 
🀣🀣
Flashing lights, flashing lights
You got me faded, faded, faded
Baby, I want you, na-naaaaa

Can't keep your eyes off my fatty
Daddy, I want you, na-naaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‹πŸŽ€
Drunk in love, I want you
We be all nite loooove loooveee πŸŽΆπŸŽΆπŸŽΆπŸŽ€πŸ˜„πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…