Nimekukubali chifu. Kweli nimeamini we Misungwi mwenyeji.
Nakaribia kumaliza mwezi hapa na nipo nahama hama utafikiri FBI. Nimemaliza tuvijiwe twote twa maana hapa aisee. Na ikitokea siku ukazungukia huku tutafutane tuunganishe nguvu tununue vocha za kutosha mpaka moto hapa uwake 😁😁😁

Chief nimeamini umefika Misungwi
Kama umefika hadi Mlashi
Nikifika hapo mahali nitakutafuta mkuu
Wiki ijayo nitakua hapo tununue vocha za kutosha tuselfike😁