Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Connection ipi?We nilikupa connection ukapotezea ujue, ila ok ,nitakuona
Itapendeza tena kesho athuman si atakuwep itakuwa raha sana ngoja niangalie ratiba ya kesho wavuviAaah boss mwenyewe huyoooo, una hadi assistant
Basi sawa, me kesho mapema nitakua hapo then jioni wavuvi camp kama kawa
Hahahahaha,sawa ,Boss umeelewekaConnection ipi?
Kama ni ile mambo ya podcast Mimi sina ujuzi nayo kabisa.
Natafuta uhousegirl,Elimu yangu kidato Cha nne failure.
Kama unayo naomba Boss.
Nipe sasa kaziHahahahaha,sawa ,Boss umeeleweka
Duh basi umepanda level kidogo😅Nataka nijifunze izo vitu, savanna nishaizoea saivi hainileweshi eti
Em icheki af utujulisheItapendeza tena kesho athuman si atakuwep itakuwa raha sana ngoja niangalie ratiba ya kesho wavuvi
hapa Ohio Mkuu, AkemiUpo nyuma ya four points?
Acha kabisa😂Duh basi umepanda level kidogo😅
We unaleta masihara na utani sasaNipe sasa kazi
Kama una Boss mwenzio huko anatafuta beki tatu,Yaya
Ndio kazi zangu hizo.
Acha masihara kuwa serious na usemayoNipe sasa kazi
Kama una Boss mwenzio huko anatafuta beki tatu,Yaya
Ndio kazi zangu hizo.
Tutaona kesho😅Acha kabisa😂
Uniwekee budget yangu ya Captain Morgan, ndio nitaanza nayo keshoTutaona kesho😅
Hiyo tutakunywa woteUniwekee budget yangu ya Captain Morgan, ndio nitaanza nayo kesho
Haina noma 🥂Hiyo tutakunywa wote
Mnataka hadi nife njaa ndo muanze kusema tungemsaidiaWe unaleta masihara na utani sasa
Cheers🥂Haina noma 🥂
Vipi sister mzima?Thank you R , you mean everything to me .
Im always blushing around when i see you or a text from you .
Mzima yahVipi sister mzima?
Poa mpe salam zangu.Mzima yah
,zimefikaPoa mpe salam zangu.
Baadae mtoto mzuri, bado niko job.