raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,861
- 36,964
Woooooooow soooo cuuuute πππ₯π₯π₯π₯Haya we na raraa reree chukueni throwback hiyo...View attachment 2680524
Mwee shoga nihadithieπHumu sio poa
Yaani hapa tunacheka wote kumbe sio ,
Watu wana yao huko huko nje
Duh pole sana
Mie msiri kidogi ππ , yaani sio maana sana .
Ewaaaah! Pendeza sana mamyππHaya we na raraa reree chukueni throwback hiyo...View attachment 2680524
MamboKwann jmn shoooπ€£π€£π€£
Niko mjini nowππ
Ah kuna jina la mtu hapo sitaki kumtaja , ningekuhadithia hata chimbo .Mwee shoga nihadithieπ
Mtoto yupo kamili kila idara familia bora akili sijui nini niniiii........- Mwana Fa πEwaaaah! Pendeza sana mamyππ
raraa reree kingine tena nimekidere kifua hiko kiko so yummy π
Hadithia tu bila kutaja jina mtu yeyote kama nilivyofanya Mimi.Ah kuna jina la mtu hapo sitaki kumtaja , ningekuhadithia hata chimbo .
Ulijuaje mzeiyaMtoto yupo kamili kila idara familia bora akili sijui nini niniiii........- Mwana Fa π
Yaa akili zisizolala π acha balaaa π₯π₯π₯π₯Ulijuaje mzeiya
Mwana Fa anakwambia-Familia bora akili zisizolala
Jay moe anakwambia- mtoto wa geti kali baba mama tajiri
π€£π€£π€£
Nafsi haifikiHadithia tu bila kutaja jina mtu yeyote kama nilivyofanya Mimi.
Endeleeni kudanganyika tu!!ππUlijuaje mzeiya
Mwana Fa anakwambia-mtoto yuko kamili kila idara familia bora akili zisizolala
Jay moe anakwambia- mtoto wa geti kali baba mama tajiri
π€£π€£π€£
LoL shoga unaniachaje napitwa kweli[emoji3064]Nafsi haifiki
Kwanza kusema yenyewe imetokea tu jana tu sikuwa sawa [emoji23][emoji23]
Shoga tukimeet siku face to face ππLoL shoga unaniachaje napitwa kweli[emoji3064]
Nifanyie wepesi[emoji23]
Ankol wewe ni zaidi, utundu utotoni ulikuwa ukijulikana mpaka mtaa wa 7 π€£π€£π€£π€£π€£π€£ unarudi vumbi mpaka kwenye kope...
π π π π πAnkol wewe ni zaidi, utundu utotoni ulikuwa ukijulikana mpaka mtaa wa 7 π€£π€£π€£π€£π€£π€£ unarudi vumbi mpaka kwenye kope...
Thank you ankoo akeee nawe pia happy 7/7 deiiiiπ€©π€©Auntiee mzuri and mummy happy 7/7
Nipo na kipuppy changu hapa πππ
Kinawasalimu.
View attachment 2680859