π€£π€£π€£π€£ Miaka 8 nyuma yanguNilikuwa darasa la saba
Hapana chezea tukawa tunajiita LY .
Miaka mitano aiseee π π πNilikuwa four 4ππ€¦π€¦
Vyema sanaπ€£π€£π€£π€£ Miaka 8 nyuma yangu
Unataka kusema mi niko 40 something??πAh uongo
Usikute ulikuwa unapiga masters hapo ndo umeanza
Sijaelewa hii codeππ«π«π«
Halafu leo Hii unakula sahani moja na malijendari π€
LabdaUnataka kusema mi niko 40 something??π
ππKumbeHuyu dogo anayeenda sambamba na Malijendari halafu akija kufikia Ulijendari anakuwa na akili za Utoto sasa π
Hutak auππ
π€£ Daah
Piga hesabuπ pre-unit wa 2009 ni mwanachuoLabda
Humu under 30,tuko wachache kweli .
Miaka 14 iliyopita tu hapoPiga hesabuπ pre-unit wa 2009 ni mwanachuo
2009 kitambo ujueπ
Mbona unakazia hapo kwenye 40 smthingπkumbe ni forty something ππ
WeeeπMiaka mitano aiseee π π π
Heeheee my favourite people 40 something ππMbona unakazia hapo kwenye 40 smthingπ
Unataka unifanye niniπ
Mi sipo hukoπHeeheee my favourite people 40 something ππ
Uwe rafiki yangu πππ
Waseme ukweli tu kma sisi vibibiMiaka 14 iliyopita tu hapo
Nyie mnaojifanya wadogo kumbe ni forty something ππ
Hata hao 40's hapanaMi sipo hukoπ
Mimi ni teenager, vitu hutumiagiπ
Wanawake tunawahi kuzeeka sanaWaseme ukweli tu kma sisi vibibi
Wazee waliochangamka hakuna kijana wa miak 45πππila wanakuwa vizuri kwakweli sisi tukifika 45 ni vikongweWanawake tunawahi kuzeeka sana
Hawa wenzetu wakiwa 45 ni vijana ati .