Wakati natoka nyumbani kuja kunywa, nilisema nitakunywa beer 2 tu lakini saivi nipo ya 6 hapo bado sijaongeza ya One for the Road π€ͺπππSio kosa lako ni Hekaheka za uzeeee hizooo unazeeka vibaya babuuπππ!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweh mie moyo wangu wa nafasi moja tu tayari iko occupied!
Kwanza nyie wanawafaa Warembo vigoriiii wateketeke! Sio sie mibibi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Govi tenaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji1783]
Maisha ndio hayahayaaa babuu enjoooyyyyy!!Wakati natoka nyumbani kuja kunywa, nilisema nitakunywa beer 2 tu lakini saivi nipo ya 6 hapo bado sijaongeza ya One for the Road π€ͺπππ
Hatari, mafile yametunzwa ukibisha watu wanayatoa moja moja π π πWatunza mafile πππππ€ π€ π€ !!
Kabisa One and only anitosha mieee! ππ€ π€
Utakunywa ngapi nimwambie weita akuleteeMaisha ndio hayahayaaa babuu enjoooyyyyy!!
Nimeghairi nasikia mmewe mjeda, ππππWee usimdanganyee mwenzioo khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwashukuru kwa kututoa ushamba .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan tafranii tupuu.
Watu na vitengo vyao maalum humuu hahahaaa!!Hatari, mafile yametunzwa ukibisha watu wanayatoa moja moja π π π
Nipo hapa hapa .Kwani unaenda wapi?
Mie bia sinywiiiii babuu natumia fanta orange bariiiidiiiiii!! Moja tu yanitosha!Utakunywa ngapi nimwambie weita akuletee
Sisi huwa hatunyimani beer ila ukiomba hela ya Chumvi hatukupi π
Soda saivi maduka yamefungwa hadi kesho, ingekuwa beer zimejaa tele hapa Counter π€ͺππMie bia sinywiiiii babuu natumia fanta orange bariiiidiiiiii!! Moja tu inatosha!
Ona mnavojua kuchota watu akili sasa mfyuu ππππ€ π€ !!Nimeghairi nasikia mmewe mjeda, ππππ
Mie bia hapana babu Usijareee Kesho nayo ni sikuSoda saivi maduka yamefungwa hadi kesho, ingekuwa beer zimejaa tele hapa Counter π€ͺππ
Hatari, ngoja watu waandae vitendea kazi ukimpost tu wana mcrop faster πWatu na vitengo vyao maalum humuu hahahaaa!!
Wakae attention Ngoja nimpost tena nipo nae Daslam naenjoy likizo hapaaa!!
The one and only himπΊπ€ !
Achana na kucrop Wamsevu kama alivo Kabisa Mie nyani mzeee sitishiwi nyauππ π!!Hatari, ngoja watu waandae vitendea kazi ukimpost tu wana mcrop faster π
Nimeambiwa nitakula chumaOna mnavojua kuchota watu akili sasa mfyuu ππππ€ π€ !!
Ooh vzrNipo hapa hapa .