skuizi una vijembe😂Asiyekuwepo na lake halipo😂
mna mambo mengi😂Nilimualika jamaa mmoja maombi alichonifanyia kila saa anataka aondoke na kafika hivyo
Hii njia nzuri kumjua mtu
Hasa si walokole ambapo ibada inaongozwa na Roho mtakatifu 😂😂
mshamba_hachekwi
waache kutupendea hela itawasaidia😂ni kazi ya mwanamke kumuombea boyfriend wake.
chaputa kugumu ndugu yangu mikono inachoka😂
Heheee shem acha tuKumbe wewe shem Tinsley ndio unakaa na viremba kichwani😂 boyfriend anajaribiwa chumbani na kutoa huduma sio kanisani kwenye maombi. Maombi ni kazi ya mwanamke kumuombea boyfriend wake. View attachment 2672614
Heheeemna mambo mengi😂
sasa kama sio mlokole na ana hela??
hujajibu swali unajing'ata unajua pesa ilivyo tamu😂Heheee
Lazima tuone unavyosali isije haswa kwenye kukemea roho chafu .
Balaa mwanangu, miguu yote inaganda😂Hii fog ni balaa
View attachment 2672671
Sijui iko wapi nionje utamu wa pesa 😂😂hujajibu swali unajing'ata unajua pesa ilivyo tamu😂
Hehee balaa na nusuMpaka ukamjaribie kanisani tayari wote mna roho chafu🏃🏃🏃🏃
Unapakaa wapi?Tiba ya chap
Ni kupakaa View attachment 2672674
tafta sponsa lililoshiba😂 ulokole utausahau😂Sijui iko wapi nionje utamu wa pesa 😂😂
hii kitu imenisave sana kwenye upweke😂Tiba ya chap
Ni kupakaa View attachment 2672674
Kwa mikono/ viganjaUnapakaa wapi?
Shetty wewe 🤣hii kitu imenisave sana kwenye upweke😂