mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
auntie uko vizuri hadi bad boys unawajua๐Hahaa na wanakuaga na hela kama zote madenti, maana hapo anapiga vizinga familia nzima๐
Totoo tatizo lake ni bad boy, angekua mwema tungemfikiria
AiiiiiMatajiri hatunaga mambo mengi, wasio nao ndio wanashobokea piza, sisi mihogo na viazi
Intel njooo uoneMatajiri hatunaga mambo mengi, wasio nao ndio wanashobokea piza, sisi mihogo na viazi
Mirija unakaa Ila hauumii kichwa kama unavyosuka, weka utapendezaNatamani nikaweke mirija
Ila nikikumbuka ule muda unakaliza kalio chini mpk kiti kinakuwa cha moto naona urembo siuwezi โน๏ธโน๏ธView attachment 2670730
Chaji simu kwanza, uweke dimpozNatamani nikaweke mirija
Ila nikikumbuka ule muda unakaliza kalio chini mpk kiti kinakuwa cha moto naona urembo siuwezi โน๏ธโน๏ธView attachment 2670730
na mahindi ya kuchoma๐Matajiri hatunaga mambo mengi, wasio nao ndio wanashobokea piza, sisi mihogo na viazi kwa afya
Unataka hivi๐
View attachment 2670729
Chochea,, Chochea,,Intel njooo uone
YaanHahaa na wanakuaga na hela kama zote madenti, maana hapo anapiga vizinga familia nzima๐
Totoo tatizo lake ni bad boy, angekua mwema tungemfikiria
Hii sijachaji mpk kesho ๐๐Chaji simu kwanza, uweke dimpoz
Totoo mshamba_hachekwi shem wako anataka picha ndio akutathmini kama utafaa kuwa shem darling au upigwe chiniYaan
Akilia kdg tu mnamuhurumia ๐๐
Kwanza mwambie aweke picha tumkumbuke, me nishamsahau
mama dimpoz.Hii sijachaji mpk kesho ๐๐
Simu yangu sio pasi
siweki picha yangu humu mpaka nione yako๐Totoo mshamba_hachekwi shem wako anataka picha ndio akutathmini kama utafaa kuwa shem darling au upigwe chini
naona unaenda full gear mzee wanguYaani naomba uwe personal tour guider tukafanye royal tour mama dimpoz.
Yaani naomba uwe personal tour guider tukafanye royal tour mama dimpoz.
Smart girl ๐ฅSijaelewa
Basi ngoja niweke reversenaona unaenda full gear mzee wangu
Those dimples ๐๐๐๐Amalize UE aje ๐
Nipate mpishi View attachment 2670725
๐ ๐ ๐ ๐ ๐Basi ngoja niweke reverse View attachment 2670773
Nilisema nastaafu huu uzi kumbe bado nipo nipo sana, nimeghairi kwa mudaAmalize UE aje [emoji14]
Nipate mpishi View attachment 2670725
Hiyo aposiweki picha yangu humu mpaka nione yako๐