Kabisa plus juzikati nilisukaga weaving likanikata nywele mbele then alienifumua akazikata kama zote sasa dawa naona ndio inataka kuzinyonyoa ziishe kabisa nianze moja!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unapaka tu gelly
Unachana na mswaki.
Mambo ya kuweka dawa kali za mihogo vinywele vyenyewe vya mbele vinakuwaga vya kuokoteza
Sawa sawa, unakutana demu ana bwana ake ,na bado nakupiga mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mnamsikia lakini mwenzenu?View attachment 2670161
huyu anachangamsha genge we endelea kumsikilizaπ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mnamsikia lakini mwenzenu?View attachment 2670161
Weeee hao watuwezeshe mitaji tu kama inawezekana nasie tuwe na vyanzo vyetu inafikia wakati too much ombaomba anakuchoka!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mnamsikia lakini mwenzenu?View attachment 2670161
Khakhakhaaaa!!Sawa sawa, unakutana demu ana bwana ake ,na bado nakupiga mizinga
Ukikosa mtu niambie nikupe mtuKubuni Content
Hahaha hahaha,jambo wewe rafikiKhakhakhaaaa!!
Mpk hapa nishakosa ndio maana nauliza hapaUkikosa mtu niambie nikupe mtu
Content kuhusu Nini?Mpk hapa nishakosa ndio maana nauliza hapa
Niko poa sana rafiki!!Hahaha hahaha,jambo wewe rafiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee hao watuwezeshe mitaji tu kama inawezekana nasie tuwe na vyanzo vyetu inafikia wakati too much ombaomba anakuchoka!!
Anawajaza madada wawe wategemezi tuu ashendwee!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema vunjabei hela zinambana
[emoji23][emoji174]Kabisa plus juzikati nilisukaga weaving likanikata nywele mbele then alienifumua akazikata kama zote sasa dawa naona ndio inataka kuzinyonyoa ziishe kabisa nianze moja!!
Toeni jamani ππhuyu anachangamsha genge we endelea kumsikilizaπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anawajaza madada wawe wategemezi tuu ashendwee!!
kisima kisichokua na maji, kinakataje kiu??πToeni jamani ππ
Safi hata mie naona uko poaNiko poa sana rafiki!!
Yanii.. tena huku mbele kabisa ndio kazipunyua Kweli bora ingekua katikati!![emoji23][emoji174]
Mfumuaji alikuwa haoni?
Sipendi watu ambao hawajali nywele za wenzao..Imagine mtu anakatakata tu bila kuangalia.
Ni heri mtu akatae kunifumua kuliko anifumue kwa kunikata.
Hapa sasa hapafai ,kama mtu yupo anioneContent kuhusu Nini?
Weeee anawasaidia Wapi mtu ukae tu kumtegemea mwanaume unabweteka tu ndio dharau nananyanyaso yanaenda anzia hapo!! Japo sio kwanza wote ila hio mbaya sana asee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm naona anawasaidia
Hasa wale wadada wenye wanaume wasiojitambua.