Nafeli sana sipendi ndizi wala hizo nyanya chungu .Kwa uzoefu wangu Hio labda inaongezea tu make ukila ndizi mara kwa mara hata maeneo unayasikia kabisa yanakua lainiiiiii! Hasa zile ndizi bukoba zile kubwa nene laini!!
Na nyanyachungu pia nasikia zinalainisha uke!
Mie pia natokaa Nyakiboo Siku si nyingiiii nawafata huko mnakoita mjini kwenyuu msintanieeee ππ!!huachiiiii, nina experience nayo ndugu yangu, namshukuru Mungu nilitoka salama huo mkoa, mkoa hatari huo, si unamwona nduguyo Antonia katoka zake huko kaenda kojozwa huko [emoji1787][emoji1787]
Naona shem yuko vere ile mbaya ni mwendo wa kuenjoy πππTinsley unamsikia shem ako πππ!!
Mie nishastaafu Nalea wajukuu tu saivi mambo yenu Vijana hayo!!
Enjoy to the fullest maisha ndio hayahayaaa!!
Yeah hata hizi ndogo ila zile kubwa ni zaidi.. Bamia pia nasikia zinaleta lubricants!!Nafeli sana sipendi ndizi wala hizo nyanya chungu .
Ndizi nakula mara chache kweli
Zile kubwa eeh
Na bamia je ???
Usitoke tu kwa sababu umetoka, unless una issue serious! huo mkoa ni mzuri saana, vegetation, whether, nk nkMie pia natokaa Nyakiboo Siku si nyingiiii nawafata huko mnakoita mjini kwenu msintanieeee [emoji1][emoji1]!!
Una balaa si la kitoto, yani unapenda ndizi kubwa tu, sasa vibamia vya nini tena unauliziaπ π AntonniaNafeli sana sipendi ndizi wala hizo nyanya chungu .
Ndizi nakula mara chache kweli
Zile kubwa eeh
Na bamia je ???
π¦π¦π¦π TinsleyYeah hata hizi ndogo ila zile kubwa ni zaidi.. Bamia pia nasikia zinaleta lubricants!!
Yeah hapo kwenye vegetation dahhh!! Greenish throughout the year...mvua hali ya hewa sasa dahhh kwahilo nitapamisi sana Bukoba!Usitoke tu kwa sababu umetoka, unless una issue serious! huo mkoa ni mzuri saana, vegetation, whether, nk nk
Mkuu kupotea masaa machache hewani umenizunguka tayariπ₯Ίπππ Ngoja kwanza, pokea bahari kwa sasa. Nikikupa na dunia hawa viumbe Depal, Jack Palladino na mshamba_hachekwi watabaki ma homelessπ π
Mwamba umerudiππMkuu kupotea masaa machache hewani umenizunguka tayariπ₯Ί
Daah π₯ΊIla usimwambie Jack Palladino na huyu mwenye shamba la bangi kule kisimiri mshamba_hachekwi kuwa umefurahi kusikia hivyo. Watanisagia kunguni hawa nikose bagia π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushee tafadhariii, na ucharuko wangu woteee siku hiyo ulikata fyaaaa.Ule Msitu una matukio sio poa[emoji28][emoji28]
Ulikamatika na wewe[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko kaenda kojozwa na hao wa nyakibooo??huachiiiii, nina experience nayo ndugu yangu, namshukuru Mungu nilitoka salama huo mkoa, mkoa hatari huo, si unamwona nduguyo Antonia katoka zake huko kaenda kojozwa huko [emoji1787][emoji1787]
Hongera kwa kujuaHahaa πππ
nasikia bamia zina faida zinasadia wale wakavu .
wangekua hawa vijana mshamba_hachekwi na Mwachiluwi ningekua na wasiwasiπ€£Mwamba umerudiππ
Nilikuwa nampa company shem, wala usijali kabisa broπ nakulindia tu Lenie
Daah π₯Ί
usiniweke na huyu mla chipsiπ@Mwachiluwi
Weee mwambie kubwa sana zitamtoa kizazi πππππΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈUna balaa si la kitoto, yani unapenda ndizi kubwa tu, sasa vibamia vya nini tena unauliziaπ π Antonnia
Kwa hiyo mimi kibisa??? Lenie πwangekua hawa vijana mshamba_hachekwi na Mwachiluwi ningekua na wasiwasiπ€£