Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Safi sanaZinasaidia sna kwenye ukuwaji wa akilli
Kumbe we ni mpishi mzuri eh
Safi sanaZinasaidia sna kwenye ukuwaji wa akilli
Nyama choma na ugali mkubwaaaKama uko msalato basi sogea hapa kibanda cha Jamila pub tujumuike [emoji4][emoji4]View attachment 2667313View attachment 2667314
Hahahah najifunza badoSafi sana
Kumbe we ni mpishi mzuri eh
Picha ndo inafunguka saivi. Tuone baada ya kuiva
Nani amekuambia?Zinasaidia sna kwenye ukuwaji wa akilli
Dr wangNani amekuambia?
Kumbe kanidanganya ehNani amekuambia?
HapanaKumbe kanidanganya eh
🤣🤣🤣🤣 sina pesaunabania mboga....
huo ni ushamba
hela za kununua mboga huna, za kununua viepe unazo😂🤣🤣🤣🤣 sina pesa
🤣🤣🤣 ndiohela za kununua mboga huna, za kununua viepe unazo😂
Muongo huyo😅Kumbe kanidanganya eh
Shemeji yetu anakupenda sana sio kwa dikodiko hilo. Unazingua weekend yote hii unakula ugali na dagaa 😀Karibu tule mshamba_hachekwi Mzee wa kupambania
🤣🤣🤣🤣 sina pesa leoShemeji yetu anakupenda sana sio kwa dikodiko hilo. Unazingua weekend yote hii unakula ugali na dagaa 😀
Tatizo lako unaendekeza sana chini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sina pesa leo
Sawa ila wewe unaendekeza juuTatizo lako unaendekeza sana chini 🤣🤣🤣