Bibie salamu umezipata
Sema wee udugu wangu nimekuachia vocha nyingine kwaajiri yako, na hii ilikuwa ya kukuonyesha tu!
CRDB imenona huko salary linasoma sio shida zangu!! Ningeweka hapa msg ya muhamala sema wanga wengi
Kesho nakupa ofa twende kwa American nails tukasafishe kucha!! Utachagua wewe za 70,000 au laki