Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbuga za kasikazini zenye vivutio poa. Nitumke siku 14 huko
1. Sere
2. Ngoro- ngoro na sere unaweza ziunganishia... 4 days, 3 night
3. Magoroto.. uwende na kapo yako πŸ˜›
4. Serval.. mwalimu wa mathe si alikwambia simba ni mkali? Basi nenda Serval uone jinsi unaweza mkiss simba- unaweza lalapo.. wako expensive kidogo
5. Tembo kwa uzuri wapo Tarangire- day trip
6. Manyara + zipline ila hizi n day trip.
 
Asante kwa mwongozo
Namba 3 whyπŸ˜‚
Sipati take away huko

Kwa experience yako unaona siku 14 zitafika? Maana hapo naona kama wiki hivi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Watu wa kwenye bible hawana kona kona
Ruth ni mfano wa kuigwa
Alikuwa humble na mwenye maadili .

Anamwambia mama mkwe hapana nitaenda nawe , your people will be my people and your God will be my God .


Na mimi ni modern day ruth hapaa hadi shem rabbitus aelewe somo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: 511
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…