Kama katuma buku 10, utatumika miezi 6 free dadekiUlikuwa unaingiza?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeingiza ndio nikatuma unazani mimi kolo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weee buku 10 ipotee kilejaleja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππNimeshalishwa nyingi mpaka mwili haupati side effects tena. Jipange upya
Kama katuma buku 10, utatumika miezi 6 free dadeki
Hahha si utajilipa mwenyewe tena πππSasa hapo si nitakuwa najikaanga kwa mafuta yangu mwenyewe shem.
Usijalii ehhh, ntakuchomaaa sindano kubwaaπ€£πMimi sindano ya tako dohπ
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaaa nitaenda Bagamoyo kwa wazee [emoji23][emoji23]
Usijalii ehhh, ntakuchomaaa sindano kubwaa[emoji1787][emoji23]
Aweeeeeee! Sio kweli baby pesa ndio zipo, nishindwe mimi tu!
Wewe nisaidie kukazia bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali, ukiwa na shida niite nimjaze kichwa, bila mimi ungetumiwa jero leo
Ada shs ngapi kwanzaBagamoyo unajichosha wewe lipa ada tuanze mafunzo, acha ubahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au najileta Mafinga huko
ndo nani huyuLight
π€ndo nani huyu
Hiππ nilikuwa huku wkend.
Kulichonifanya hata hamu za kuchat sina View attachment 2665347
acha basi sijui mtu anaitwa light.... umekosea kuandikaπ€