Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Utaniua ujueš¤©
Utaniua ujueš¤©
Nikajua hiyo hela nimeona peke yangu, nilivyo na arosto ya kuvuta Kiko najua ingenitosha kabisa [emoji12]
Sijavuta Kiko nina muda mrefu Mjukuu, hapa arosto kama lote š[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetamani
Siwezi kua na nguvu kuliko šŗ š„šššUtaniua ujueš¤©
āŗļøšGorgeous š
Ila nimeyataka mwenyewe endelea kunitagšSiwezi kua na nguvu kuliko šŗ š„ššš
Nanunua kalimati, bagia, na mapocho pocho kibao na chenji inabaki nanunua vocha ya buku natupia selfika šš¼ linasubiria šµ tu hapa!!
Ehhhhh....hiyo kidogo hivyo utafanyia nini???š³š³
Sijavuta Kiko nina muda mrefu Mjukuu, hapa arosto kama lote [emoji12]
Asante š¤[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole
Alayna njoo uselfike mremboGorgeous š
Selfika tuone namna ulivyo mmissMiss you sanaaa ankoli anguu YE67NBE mzeiya wa nimekaa paleeee ................šššš
Mweh sina hata jipya mr vouchaaa!Selfika tuone namna ulivyo mmiss
Usitufanyie hivyo ni vibaya boss ladyMweh sina hata jipya mr vouchaaa!
Kuselfika nimestaafu!!
Hakii tenaa !Usitufanyie hivyo ni vibaya boss lady
Namtumiaje wakati hata nyumba sijawahi kupangašššTapeli huyoo, ukijichanganya kutuma ndo imeendašš¤£š¤£
Ntampigia leo nimsikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpigieee kabisaa, uchekee hadi baas.
Ila watu jamanii, ndo ugumu wa life enyewee.