Nimewasikia ππ
Usiajeleeeee shangazi kipenzi ππ Mtoto marina kanizimia vibayaaa yani anataka nipa na mahela tuishi pamokooo huko BOA abidjan ...Mie nilifeliiigii kingreza mjombaa nitasfiriee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz π!
Ndio naingia hapaDepal Njoo ofisini....View attachment 2662870
πΆGeuka mbele tuone chifesi inavoupendezaa zaidi!!π€©
nione mkia wa kondooo π π πkwako Aaliyyah π
SahihiNimewasikia ππ
π€£π€£Prawns I guess
Wadudu watamu sana hawa
Hongera mamaβ¦naona ulikuwa unakula maisha..ππ
Labda wa mbuzi πππnione mkia wa kondooo π π π
Kumbe ningeyajulia wapi haya si huku tunatumia magari ya ng'ombe ππKigari kidunchu
πππDahRangi ya mtume
Hyo lodge naijua
hata wa mbuzi nao mkia ebu tuoneLabda wa mbuzi πππ
Ningepata wa kondoo kudadeki
Irudie tuoneHahaaa
Tatizo wa kunipiga picha hakuna
Ipo juu huko Moja tu
Kalete chap mkuuHahaha mkuu unaishi wapi? Isamilo ama masaki
ngoja niingie stoo kutafuta Kapicha ka kirikuuπππ
Itafute banaπ€£Irudie tuone
Kaka si yupo?
π€£π€£Nimewasikia ππ
Haka katoto umekatoa wapi?Hii nyingine π€£π€£
Hii nyingine [emoji1787][emoji1787]