Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Ana sema mli nyweshana Hadi bia😂🤣🤣Ahahaha dah nimesikitika sana kabisa manara 🤣🤣🤣
Ulikuwa bado kitandani🙄😂🤣🤣Embu jobless niamke mm nikatafute pa kutolea upwiru maisha ndyo haya haya
Weee usiniambieHata nikiwashwa wa kunikunaa yupo spesho!!
Mwachiluwi huyu Jamaa Hana lengo zuri😂🤣🤣Oya mbona unanigombanisha na ndugu yangu [mention]Mwachiluwi [/mention] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh mbea wewe😂🤣Weee usiniambie
A special one.. so unique!♥️Weee usiniambie
Ehhh......😲😳Mh nyumbani Tena🙄🙄, mi ndo nimefika Hapa🤣😂😂
😂😂😂Mhhh mbea wewe😂🤣
Love is beautiful ❤️A special one.. so unique!😊
Exactly!!💕Love is beautiful ❤️
Una maanisha nikaee, Asante 🙏😂🤣Ehhh......😲😳
Embu ngoja kwanza!😐
Komwe😂🤣🤣Exactly!!💕
Chogo na fuvu kama vyotree!🥴!Komwe😂🤣🤣
Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀A special one.. so unique!♥️
Exactly!!💕
Selfika Sasa😂🤣Chogo na fuvu kama vyotree!🥴!
Njoo nikupe ushauri😂🤣(private course)Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao
Mtoe out mkajichanganye kidogo walau ile interaction huko inasaidia kiakili !Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao
Ushauri wa nn hayanaga ushauri kumuombea tu kwakweli wew mtoto mdogo Wakubwa ndo waongee wanawezaje kuyamuduNjoo nikupe ushauri😂🤣(private course)
Nimestaafu rasmi!🌚