Sasa kumbe......??π«’π«’Kumbe Ulitaka Nije ili nikuletee viazi vitamu na maboga ya bureππππ€£
Antonnia kwanin umestaafu kuselfika?
Yaani unune half a day,nitakupigaaa na mikateππ€£Hapa utaenjoy vile napenda utani Sasa ukinikuta nimenuna haizid masala 12
Selfika bila ua DrSasa kumbe......??π«’π«’
Kabisa dear yaani utaenjoy sana na kiukweli Huwa tunawaombea hawajui tuπMwanaume akikupenda kwa dhati, anakufanyia mengi mazuri kwa vitendo na si maigizo. Aisee utaenjoy sana. Kosea umpende wewe zaidi afu ajue kwake umekufa ukaoza ndiyo utaishia kulialia kila leo!! Kigi Makasi anasema nakufundisha ujambaziπ€£π€£!!
Kila kitu kwa kikomo aisee na
Ukipendwa pendeka !!
Acha nikapike ugali kilo 2 jikoniππ€£π€£, SI umesema niji sikie Kama nyumbaniππ€Sasa kumbe......??π«’π«’
Kipenz changu
Ngoja nimchokoze coca
Kha mbona yupo kimya na hasemi aje nimsaidie miez mitatu ninahamu kula embe mbichi ππAna mimba
Wew nawe ππunanisagia kunguni[mention]cocastic [/mention]
Mdomo Koma[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Yeah Tunawaombea mnooo!!Kabisa dear yaani utaenjoy sana na kiukweli Huwa tunawaombea hawajui tuπ
Ukinipiga na mikate nakula yote ππYaani unune half a day,nitakupigaaa na mikateππ€£
Kha mbona yupo kimya na hasemi aje nimsaidie miez mitatu ninahamu kula embe mbichi [emoji23][emoji23]
Wew nawe [emoji3][emoji3]unanisagia kunguni
Wee usiniambie πAna mimba ya [mention]Mjep [/mention] kamzunguka rafike ake [mention]cocastic [/mention] ila wanawake nyie mnajua kuzungukana
Mbona nipo hpa jirani na hujanambiaπππWatu wa Dar
Hapa ni wapi??
Hapa ni wapi??
Mwalimu wa Mase alisema sifiki mbali
Hapa ni wapi???
Bila kutaja walimu hampumui mfyyuu!! πππ!!Watu wa Dar
Hapa ni wapi??
Hapa ni wapi??
Mwalimu wa Mase alisema sifiki mbali
Hapa ni wapi???
Wee usiniambie [emoji23]
Watoto ni baraka kijana zaa mapema umalize hekaheka !!Ana mimba