Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka uwe unanifanyia vetting!

Nimechoka kupigwa na vitu vizito
Kwa yule mmepigwa wengiii, sio pekee ako


Kuna mwingne, alimfanya jamaa atoke kumfata aliko, kufika kulee lahaulaaaa tobaaaaaah.ni kivumbiii.

Wana wa zoom tyuuh. Mwingne yeye ana act hapa public, ila anavoganda majamaa PM had wamemkaushia

JF ina mambo balaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…