Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo mchongoo, wazazi hawawezi kubali nibaki huku na cna mishe, kuna plan nilitaka nidanganye mmmh nilimdokeza mama kidg akachomoaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cna namna ntakua nam mic sanaa.
Duh pole , tafuta hata intern sehemu
 
Wanaume wote ni wadudu, sawa sijakataaa, ila huyu Mende wangu, mniachie mwenyewee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

G km G.[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]View attachment 2659808
Santrooo sana kipenziiiii mdogo ila ana body la kaaazii kaaazzzz!!!!
Wabheja sana hakika Jioni yangu inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!!
 
Utani wa ngumi huuu kichaa akee wengine tuna Kazi na tunatumiwa nauli yakuja na kula njiani ya boda kama ni haisi na ya kurudi😁😁😁😁🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!!!

Sijapentaa😁!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…