Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,370
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anatuzingu tu huyo, ndo kama wale wanakwambia ngoja niamke nipumzike kulala
Tatizo lako unalalaga alone and lonely, embu tuone kama utachoka tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kulala nayo ni kazi
Hata mm huwa naamka napumzika kulala maana mgongo huwa unauma ukilala muda mrefu
Haijalishi mlala kikundi Cha watuTatizo lako unalalaga alone and lonely, embu tuone kama utachoka tena [emoji23]
Mnafiki, alisema anahangaika haki za wachezaji wazawa, alivyopata yake tu anaenda kupumzika na hela zetu [emoji23][emoji23]Haijalishi mlala kikundi Cha watu
Ukishalala zaidi ya masaa12 , lazima mgongo uume..
Mara nyingi nikilala saa2, kufika saa2 kesho yake lazima niamke maana mgongo unakuwa umechoka.
Kaka eti Fei toto anapumzika baada ya kupiga domo sana.
Kuumbe, ndo maana tukikukorofisha tunalambwa block, kumbe we ni CEO's daughter [emoji12][emoji12]Our JF CEO n his Douta!!
[emoji178][emoji178][emoji178]View attachment 2656062
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ulikua hujuii?? Ndo hivyooooKuumbe, ndo maana tukikukorofisha tunalambwa block, kumbe we ni CEO's daughter [emoji12][emoji12]
Amekosekana samaki tu hapoChato nitarud dar nikiwa kifutu
Alafu ukisoma maandiko yanasema Njia ya kwenda Peponi ni nyembamba balaa, huyu Carasco Putin anataka aende peke yake nadhani 😅🤣🤣🤣 huyu mwanetu Carasco Putin hanitakii mema kabisa. Acha nizidishe maombi aisee
Ahhahaha nakuja uko uko soon possible ngoja nimalizane na ipalamasa hapaAmekosekana samaki tu hapo
Utafikaje Chato usile samaki??
Umenipita hapa Bwanga chief
Waliomtolea aende CASMnafiki, alisema anahangaika haki za wachezaji wazawa, alivyopata yake tu anaenda kupumzika na hela zetu [emoji23][emoji23]
Wanafanana hatari[emoji3590]Our JF CEO n his Douta!!
[emoji178][emoji178][emoji178]View attachment 2656062
Hela za makolo zinaliwa ovyoWaliomtolea aende CAS
Utakuwaje sasa!?
Anaenda zake Pemba kuzitafuna
Our JF CEO n his Douta!!
[emoji178][emoji178][emoji178]View attachment 2656062
Auntie huyooo 🔥🤳
Tajeni sifa za wanawake wenye macho makubwa😂😂😂View attachment 2656208
[emoji1702]
Tajeni sifa za wanawake wenye macho makubwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2656208
Na bado wamemkosa [emoji23][emoji174]Hela za makolo zinaliwa ovyo