naomba uniwacheee, huko chimbo kuna mtu kauletaaa mbna nli log out fastaa, sitaki ushahidi mie akuuuh.
Kwan hata nilivyo usoma kwa da mange nikawa hadi naziba macho, isije cctv ya hackers ikanionaa. Ule ubuyu umevuka viwangooo.
Mmmmh siuwezii kwanza hata siutakiii, napenda ubuyuu ule wa motoo km sio bomu la
.
Wee kuwezaaaa???