Hawafai hao wana mabwana kibao akitoka mtu anaingia mtu na wanajua sana kutupanga. Hao mwisho wa wiki huwa wanafunga hesabu ya walichoingiza kupitia mabwana zao

Unajua been Mara ya kwanza- Ali mnyima kazi Warren, Tena Warren alitaka fanya kazi bila kulipwaππ
πBeen aliona vission ndani ya Warren, so akawa ana insist Jamaa aji tegemeee- later walifanya kazi wote