National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Wanamatumizi makubwa sana π π unaweza filisikaAlikuwa anatwerk her booties kama strippers wa casinos π π π
Shida ya wale ni watu wa bata na night life matumizi yao ni makubwa sana ukishakula mzigo unapiga chini au unampotezea anakupiga yeye kibuti π
Umenikumbusha momo mwanawane π
hapana kwakweli sinashida kabisa ya kupendwaa π π π upendo wa mama unatoshaπ€£π€£π€£ National Anthem uko tayari uambiwe unapendwa tukupe kabisa maua yako?
Asante Kwa nenoMika 7:5
[5]Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari.
Trust ye not in a friend, put ye not confidence in a guide: keep the doors of thy mouth from her that lieth in thy bosom.
Hatari sana wale viumbe unaweza ukashangaa yeye unamtimizia malengo yake wewe yako hauyafikii π π πWanamatumizi makubwa sana π π unaweza filisika
Hapo hauchomoki labda ubadilishe njia π
Au ndo ile akinipenda mama na baba inatosha ππhapana kwakweli sinashida kabisa ya kupendwaa π π π upendo wa mama unatosha
Ile gafla bin vuuup...Hapo hauchomoki labda ubadilishe njia [emoji28]
Hahaha safi sana, mzee Warren ni mtu wa vision sanaBeen aliona vission ndani ya Warren
Tunahitaji upendo kutoka Kwa wote.Au ndo ile akinipenda mama na baba inatosha [emoji3][emoji3]
Bora kidogo tuishie hapo kwa mkeTunahitaji upendo kutoka Kwa wote.
Mama baba
Mke
Gf
Hahah side chick
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hapo ongea nao tu kiutu uzima
Amina!Kheri ikawe kwetu soteππͺ
Wapeni hela jamani. Acheni ubahiri..Bora kidogo tuishie hapo kwa mke
Ha gf na side chick wako kimasilahi sana wanakupukutisha usipokuwa makini [emoji3][emoji3]
Hawafai hao wana mabwana kibao akitoka mtu anaingia mtu na wanajua sana kutupanga. Hao mwisho wa wiki huwa wanafunga hesabu ya walichoingiza kupitia mabwana zaoWapeni hela jamani. Acheni ubahiri..
Mnataka Nani awahudumie ma GF wenu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamerudi na kombe la medali πAmefika swalamaπππ
Hahah mzee wa kupambania hiyo ni win win situations.Hawafai hao wana mabwana kibao akitoka mtu anaingia mtu na wanajua sana kutupanga. Hao mwisho wa wiki huwa wanafunga hesabu ya walichoingiza kupitia mabwana zao
Ben ni mentor wa Warren BuffetUnajua been Mara ya kwanza- Ali mnyima kazi Warren, Tena Warren alitaka fanya kazi bila kulipwaππ
πBeen aliona vission ndani ya Warren, so akawa ana insist Jamaa aji tegemeee- later walifanya kazi wote
Hahaa ni win win situations kama unaona value for moneyHahah mzee wa kupambania hiyo ni win win situations.
Nyinyi si mnapewa papuchi tena mnawalia mkongo kabisaa na alkasusu.
Wapeni pesa zao.
Sent using Jamii Forums mobile app