Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,389
Yaani [emoji23]Nkamu ndiyo naona sasa hivi hii post yako!
sikupatii picha ulivyokua unateleza
Kula chuma hichooo ππWanyama wanazo ila makolo hawana hata za mchongo
Afadhali umeuliza na weweππ, maana mi nikikwambia Dr Lizzy kuwa huo msosi mi nilikuwa nakula utotoni ana pingaπππUnashiba?π
Yeah I got some plans, some involve industry production, tech, na etc with the LORD blessings tutafika huko Mzee wa kupambaniaNever say never just reminding you once Buffet explained the importance of keeping a long term view and start early
wapi tena mkuuAisee mmekuja Tena mshamba_hachekwi π€ππ
Dr Lizzy hivi waga una tutaania ehhπ€ππ, una post kidogo- Afu kumbe una kwangua Hadi ukokoπππ
Nilijua mmekuja kunisnitch, wewe na Poor Brain ππwapi tena mkuu
hatuna baya na mtuπNilijua mmekuja kunisnitch, wewe na Poor Brain ππ
Mtoto wa mjomba habal yakoWalichofanikiwa kuwa nacho msimu huu ni majungu tu.
Mimi siwezi snitch wadau....Nilijua mmekuja kunisnitch, wewe na Poor Brain ππ
Dah sikui niangalie series, nicheze game au nilale mshamba_hachekwi na Poor Brain πππhatuna baya na mtuπ
Kama mwema vileπ€π€ππMimi siwezi snitch wadau....
πππππ€
Angalia series kama game cheza game la escape the room ππππππDah sikui niangalie series, nicheze game au nilale mshamba_hachekwi na Poor Brain πππ
elon musk analala saa ngapi πDah sikui niangalie series, nicheze game au nilale mshamba_hachekwi na Poor Brain πππ
Mi mwems mkuuu uwoni how navo ku treat politly alaaaaah πππππKama mwema vileπ€π€ππ
Halali πππππelon musk analala saa ngapi π
Alikuwa ana lala 1 hr, kwenye sakafu ya kiwandaππelon musk analala saa ngapi π
Hizi kazi zinachosha aiseeπ€π€, una tamani ulale tu- imagine Nina siku 3 sijalalaππ€¨Halali πππππ
Huyo mimi....Hizi kazi zinachosha aiseeπ€π€, una tamani ulale tu- imagine Nina siku 3 sijablalaππ€¨