Selfika na JF: Snap it. Show it

Ushapigwa mkwara au amekuteka uanze kumsifia 🀣🀣🀣
 
Sema Raha ya teknolojia, we una boresha- Kuna wahuni wanna kulia RadaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
πŸ‘‰Hata ukiwa kiboko, Kuna mahali utazidiwa
Yh sure lazima u-upgrade your skills to gain new ones

China sasa hivi wanataka kutoka 5G kwenda 6G serikali imemwaga mpunga kussuport hiyo project hapo Shenzhen Silicon Valleys vijana wakali wa telecom hawalali huko

Sisi bongo bado tunakomaa na 4G πŸ€”
 
Cheki hi ni transportation tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…