haha dah aisee mnasagia kunguni hatariAaliyyah ushauri tuu mdogo angu....
Usithubutu... Kimbia, jiepushe na huyo Intelligent businessman hakuna asiemjua humu alaaah ππ€ππππ
Bro Hilo suala halipo, huyu Poor Brain ni mnafikiπ€£π. Kuna kiumbee gani was kukesha usiku na mchanaπ€£ππNaskia mida yako ya kutisha mkuu, leo nitatembelea uzi wa usiku wa manane!π
ππππππππππ Mbna kama nimejichanganya hivi aiseeeee hivi kweli kwa group sitotolewa mimiNimekuwa mdogo akoπ€π€π€, nimeingiaa wapi Tenaππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana pa kupumzikiaa ndo wanatafuta, sasa mie mwenyewe ndo natafuta wa kumu egemea mbna itakuaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]kumbe jf Watu wapo siriaz kiasi hiki ???lol
Naskia ni 24/7 non stopπBro Hilo suala halipo, huyu Poor Brain ni mnafikiπ€£π. Kuna kiumbee gani was kukesha usiku na mchanaπ€£ππ
Aaliyyah ona braza kaja kuniteteaπ€πhaha dah aisee mnasagia kunguni hatari
Ila Intelligent businessman alisema ana moyo wa chuma hajali maumivu?
Bro hata Elon musk mbona alikuwa hivyoπππNaskia ni 24/7 non stopπ
π―π€Najiandaa kuwa CTO au Director wa kitengo flani hapo mbeleni.. naangalia sifa za jamaa na mahala walimo pita na vitu walivyosoma.. na mie napita mule mule.. maana no vyema ulajifunza kwa walio toboa na kufika unapotaka kufika
Unafiki gani sasa unalalaga wewe....Bro Hilo suala halipo, huyu Poor Brain ni mnafikiπ€£π. Kuna kiumbee gani was kukesha usiku na mchanaπ€£ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapeee salaamuuuuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtata ww kumbe
Ushayumbaaaa, kwenda kenge weweπππ, Afu mbona umemwambia Jack Palladino kuwa nakesha 24/7 π€ππππππππππππ Mbna kama nimejichanganya hivi aiseeeee hivi kweli kwa group sitotolewa mimi
Nae akubali si tufe..Hivi Aaliyyah Umeona wanavyo tuchukiaπ€π€, Hebu nipeee wafeeeππ€£π
Ni kweli, so unafata nyayo zake?Bro hata Elon musk mbona alikuwa hivyoπππ
Kidogo kidogo bro, harakati tuna ziseti kimtindoππͺNi kweli, so unafata nyayo zake?
πππNae akubali si tufe..
Tutamtenga jf nzima humu ππππ