Weeee emu nitumie, me sina hata mojaZa kwako
Za Depal niko nazo kumi kidogo
Mimi lazima niseme ili tuende sawa jamani!Muwe mnavumilia ili muone mengi, mimi huona mengi lakini kimyaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee emu nitumie, me sina hata moja
Nimemiss uchebeChat nyingi kuliko picha
Tonight naomba ukuje nikupe ukwaju mwingineView attachment 1273423leo mezibahatisha huku namtumbo
Asante napokea mkuu [emoji3]Heshima kwako hon
Mkuu mimi humu kitambo sana mbona sema huu uzi nachunguliaga mara moja mojaNamuona mgeni anvyojimwambafy taratibu
Sakayo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unikome nimecheka sanaInabidi nikufundishe pozi la kusimama jamaniii!!!
Tho kakitambi ka kufutia simu [emoji39]
Niko mbali huku sijaziona, nitaagiza wadogo zangu waje nazo wakija kunitembelea likizo.Mbona zimejaa mkuu
Bora mpendwa umewakumbusha.Chat nyingi kuliko picha