Mi nimejiunga tangu nikiwa teenager....hata 18 nilikua bado sana kufika!Kipindi una Anza tumia jf, nilikuwa na different ya Miaka 8 ππ
Kila siku nasema kesho nafunga, alafu kesho yenyewe haifiki!πΆβπ«οΈπΆβπ«οΈπΆβπ«οΈπππ... funga hata mbili kavu
tukatembeeee porini ndaaani kabisaaa.. tukae huko siku mbili tu mie na wewe tufungeee πππKila siku nasema kesho nafunga, alafu kesho yenyewe haifiki!πΆβπ«οΈπΆβπ«οΈπΆβπ«οΈ
Hiyo itapendeza!!!!!πππtukatembeeee porini ndaaani kabisaaa.. tukae huko siku mbili tu mie na wewe tufungeee πππView attachment 2644706View attachment 2644704View attachment 2644703
We msosi ni hobby pendwaππpunguza kula basi.. mwili ubaki mdogo mdogo..ππ
πππ nikupitie alfajiri au unanipitia hapa usiku tuondokee hapa hapaHiyo itapendeza!!!!!πππ
Aisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 ππ. Maana nabugia kilo mwenyeweππ€As it should be!!! Mi sipendi kupakulia mtu chakula...ajiwekee mwenye kadri anavyotaka.
Awwwwwwwww hadi tumbo limebatasamuu mjombaa kyukyuuπππππaunty yangu mzurii πππ Bantu Lady karibu tutoe hangover nipo hapa na nyuma ya Antonnia View attachment 2644711
Kilo yote pekeako Kwani weee ni msukuma????πππAisee, usije niitia mapolisi kisa Michelle wa buku 3 ππ. Maana nabugia kilo mwenyeweππ€
Nakujaaa mjombaaaaaa!πππ njoo tulishane sasaView attachment 2644713
Makusudiiii hayo mjombaaaaaaππππππππ!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaaπ!naaanzaaa kuutafunaaaa mfupaaa ukuje uninyweshe soup ππView attachment 2644716
Yaaani weweππππππ nikupitie alfajiri au unanipitia hapa usiku tuondokee hapa hapa
Madam Santo, uko poaaaπ€Makusudiiii hayo mjombaaaaaaππππππππ!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaaπ!
Ni wa kienyeji eehh???
kama ujuavyo mjombaa wako navyopenda kufyonzaaa π ππMakusudiiii hayo mjombaaaaaaππππππππ!! Kama nakuonaaa unavyofonzaaaa huo mfupaaaaπ!
Ni wa kienyeji eehh???
π π π na chumba chake hapaaa gheto.. tukiondokea hapa tunakuwa tumepunguza safariYaaani weweπππ
Siko poa nina njaa shemmmππππ!!Madam Santo, uko poaaaπ€
Sihusiki na habari zake, iam always intellNipoooo shemlakeeeeeee was bize kidogo tyuuππ€©!
Sis anguuu anaendeleajee kwanzaa???
π π π nakuja kukululishaaa kwa mkono wanguuu mwenyeweeeSiko poa nina njaa shemmmππππ!!
Ugali samaki tu itatosha aweke na maharage mboga za majani na matunda πNa mtindi pembeni nitaunywa badaeπ