Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Nilishindwa kusema direct tu shem darling...hilo lipo wazi kabisa๐คฃ๐๐๐ shemeji wa kuonewa huruma ni Mwachi
Kwa kweli [emoji23]Akiiii, we yako misosi tu[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Nkamu japo sipo hukohalafu njoo DM
Mimi tangu nimetafuta scrub tu
Ipo vilevile[emoji23]
Ile ya sukari na asali imejaa hadi nimetupa maana imekaa muda sana[emoji38]
Hebu ngoja niscrub miguu nivae socks[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mafuta nayoyakuta ninakofikia,hayohayo napita nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii
Mwee ngoja nitafute.Nkamu ukiweza tafuta ila Scrub ya botouee ya Coffee ni nzuri sn na laini haitokuumiza uso.
Hapo pa socks[emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nyau ww[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwee ngoja nitafute.
Uso umeanza kutoka vipele mara kwa mara,,umejaa mafuta
Kitambo sijatumia scrub.
Kweli urembo kipaji[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tulia hapohapo,tunakupitia na shemeji tukulete nyumbani [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri nikitumia huwa naona kangozi kanalainikaUsichoke hata usipoona matokeo kwa haraka usiache kutumia
Muda siyo mrefu tunafika๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo haujapika keki au mkate, nije kuonja๐๐
Nimekuwa mvivuLeo haujapika keki au mkate, nije kuonja๐๐
Kwa mtu mwenye uso wa mafuta, inafaa??Usichoke hata usipoona matokeo kwa haraka usiache kutumia
Acha uvivu kwenye misosi, hujui hiyo ni hobby pendwa๐๐๐๐Nimekuwa mvivu
Kuna madogo wanasubiri hapa niwapikie.
๐๐ si life tuUna balaa๐, mpaka namisi jua jamani๐๐โโ๏ธi๐
๐คฃ๐คฃ shem darlin siku hizi umekuwa mkorofi sanaNilishindwa kusema direct tu shem darling...hilo lipo wazi kabisa๐คฃ
Fanya Kama una ji snap, sio kwa ubaya๐๐๐na nimevaa nguo nusu ๐๐ iko zake magotini
hapa napiga radar nikalale