Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Yaani nimeangaika nayo kwenye bas mpaka waka wananiona mshamba kisa mizigo nimebeba maboga nikabeba mamungunya emboo njoo ubebe na karangaSi uniletee jamani
😂😂😂Wanna anzaga hivyo hivyo😂😂, Afu mshamba_hachekwi haiombwagi hivyoo😂😂😂. Dah nishakua muhuni aisee🙄😂😂
Ahahahhah sio mchoyo ila ww ndio umenitenga sikuizWe dogo kchoyo Sana🙄🙄, umeshindia kunitumia boga nanjilinjii 😁😁
Doooh 🤣🤣Dogo mshamba_hachekwi licha ya unoko wako, ila nimeamua kukuShauri usiende huko 😂😆😂 kwa kina Lenie maana watu wa huko Hawa aminiki😂😂.
👉Usije lala stendi, Kisha wajuba wakapita na hako ka tachi kako 😂😂
umemaanisha mkuu.... mi mapenzi situmiagi😂Wanna anzaga hivyo hivyo😂😂, Afu mshamba_hachekwi haiombwagi hivyoo😂😂😂. Dah nishakua muhuni aisee🙄😂😂
Ahahha nimekula mchana hap morng naamalizia moja lilobakiNdio mana daah😅
Siku hizi umenikaushia kabisa, nope hata kazi nipate buku 2 zinisaidie mkuu🙏🙏Ahahahhah sio mchoyo ila ww ndio umenitenga sikuiz
Utaweza kweli kuvumilia nikunong'oneze sikioni🤔Ninong’oneze😂
Njoo hapa shem darling🤣🤣🤣nishalewa.
tulieni ntarudi kesho
au sio mzee 😂Utaweza kweli kuvumilia nikunong'oneze sikioni🤔
mshamba_hachekwi sikujua una shangazi mwema na mzuri hivyo🙄, 👉Hebu nitambulishe huenda nikawa mjomba anaye kupa hela za pipi 😂😂Nakupenda pia totoo🤗
Lakini mshamba_hachekwi 🤣🤣Yaani nimeangaika nayo kwenye bas mpaka waka wananiona mshamba kisa mizigo nimebeba maboga nikabeba mamungunya emboo njoo ubebe na karanga
Chukua notes kijanaau sio mzee 😂
hapana kuta za rangi 2 eheeePazuri pasafiii😍
Hongera udugu
zama pm mzee every man for himself hakuna kudalaliana 😂mshamba_hachekwi sikujua una shangazi mwema na mzuri hivyo🙄, 👉Hebu nitambulishe huenda nikawa mjomba anaye kupa hela za pipi 😂😂
😂😂😂😂 bana sitakiNjoo hapa shem darling🤣🤣🤣
Unakunywa nini?