Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Rika mojaMimi ni jobless tu ila sio mwanafunzi nitoe kwenye ilo
Kundi mzee
Mimi pia udugu sasa nipo mjiniNimekumiss kijana
utampa Jack Palladino heart attack 😂Nakazia
Si anatusifia tu jamaniUnakazia tena, mnanichanganya sana😅
Inshort haeleweki ila kwasasa yupo bushiAah hivi hajarudi tu town, au kashauza simu 😂
Haaminiki kabisa yule
Mimi age go nategemewa ndio maana sihishiwi safari kilaRika moja
Nimerudi mjini now kakaInshort haeleweki ila kwasasa yupo bushi
Wewe kwangu sio shangazi😅Si anatusifia tu jamani
Hizo sifa si ninazo eeh🤗
Piga picha hapo ulipoNimerudi mjini now kaka
Nikajua wanyaki wameshakuteka uduguMimi pia udugu sasa nipo mjini
🤣🤣Wewe kwangu sio shangazi😅
Wameniachia ahahahhaNikajua wanyaki wameshakuteka udugu
Kwanini unakua Tomaso lakini 😂Piga picha hapo ulipo
Naomba maparachichi basiWameniachia ahahahha
Hiii hapaPiga picha hapo ulipo
Kuna mabogaNaomba maparachichi basi
Hata hayo napenda, tena kesho na chai yatanifaa😋Kuna maboga
Kweli upo town kijana!Hiii hapa