mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
wacha nihangaike na vibinti vya rika langu😂 naskia budget ya kuopoa lishangazi ni hatari....Uwe unanitag nimpige chini chap nikuachie kijana😅
Nyie vijana na mashangazi siku hizi mnatishasasa nashangaa Jack Palladino anaogopa nini😂 wakati mi na we ni mtu na shangazi yake
Huyo yuko secondary ujue, form 3🤣🤣Uwe unanitag nimpige chini chap nikuachie kijana😅
🤣🤣🤣🤣sasa nashangaa Jack Palladino anaogopa nini😂 wakati mi na we ni mtu na shangazi yake
Umeingiwa uoga ghafla😅wacha nihangaike na vibinti vya rika langu😂 naskia budget ya kuopoa lishangazi ni hatari....
Wapo wa 3 wakiongozwa na Mwachiluwi wanavurugu sana!Huyo yuko secondary ujue, form 3🤣🤣
Daah nimemmiss MwachiluwiUmeingiwa uoga ghafla😅
Jikaze kijana au Mwachiluwi aje kukupa mbinu!
kusema kweli ni wazuri kushinda vibinti😂 afu wapoleNyie vijana na mashangazi siku hizi mnatisha
Ndio umri wao huu wa kufanya fujo 🤣Wapo wa 3 wakiongozwa na Mwachiluwi wanavurugu sana!
Nakaziakusema kweli ni wazuri kushinda vibinti😂 afu wapole
Dogo yupo bushi😅
amesharudi dar, baridi la mbeya limempiga.... yeye si domozege😂
Kichwa kigumu ikoUmeingiwa uoga ghafla😅
Jikaze kijana au Mwachiluwi aje kukupa mbinu!
Unakazia tena, mnanichanganya sana😅Nakazia
Mimi ni jobless tu ila sio mwanafunzi nitoe kwenye iloWapo wa 3 wakiongozwa na Mwachiluwi wanavurugu sana!
Aah hivi hajarudi tu town, au kashauza simu 😂Dogo yupo bushi😅
Mpe mbinu za kuvizia mashemeji zakoKichwa kigumu iko
Mimi hapa nisharudi mjini sasa😂
Nimekumiss kijanaMimi ni jobless tu ila sio mwanafunzi nitoe kwenye ilo
Kundi mzee
Siwez mpa uyo jau atakuja kuharibuMpe mbinu za kuvizia mashemeji zako