Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Hizo Ni fupi mpendwaaise napenda movie fupi kitu iishe hapo hapo .
mambo ya kusubiri hadi season 2 itoke sitaki .
team Hollywood mie ,
ni genre ipiHizo Ni fupi mpendwa
Hollywood mna mashauziii akiiπ€π€, fast furious, John wick, mission impossible, creed, expendable, avatar mpaka zinakeraaa kila sikuπππaise napenda movie fupi kitu iishe hapo hapo .
mambo ya kusubiri hadi season 2 itoke sitaki .
team Hollywood mie ,
ππππ!Niache kuangalia mapishi food network niaangalie wakorea na ma visu yao πππ .
Nilijua tu, na hapo ndo nyumbani kwakeππni genre ipi
si unajua wadada sie tunapenda , comedy , drama , romantic , sci-fi na thriller kidogo
ngoja nisome synopsis yake kwanza if its boring , hell no .
Mie Telenovelas tuuuuHufatilii tu, Kuna mizigo ya kwendaaaπͺ
Kaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahiliππππππ!
Kwakweli mavisu hata mi hapana Mie napenda Telenovelas .... hapo naeza unguza mboga mbona!!π
Tamthilia kama zoteππππ!
Kwakweli mavisu hata mi hapana Mie napenda Telenovelas .... hapo naeza unguza mboga mbona!!π
Mi sometimes napendaga discovery family, Kuna vipindi ambavyo Kama kijana vinatufaa Sana.yeah sahihi
napenda sana reality tv
huwa nashinda huko TLC kuangalia 90 day fiancee, Cake boss , All winner cake .
Mambo Tv hiyoKaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahiliππ
Mie napenda za kizungu zilizotafsiriwa hapana.... za ung'eng'ee ndio mwakeeeKaangalie ile channel sijui ya t... Wametafasiri kiswahiliππ
Sasa hivi Nina series Kama zote kwenye PC, + magame loh ukiamka Ni game tuππ kelphin anaelewa addiction ya master leagueππHio 108 wanawekaga hadi muvii za katunii π
Leo Tangu asubuhi mnatukomeshajeee Humu na ma dedikesioooo...πππ!!
Siku izi siwapendi hai watafasiri, mtu anakunywa maji. Ye anasema Jamaa kakasirikaππππMie napenda za kizungu zilizotafsiriwa hapana.... za ung'eng'ee ndio mwakeee
"Yu no woram seinπ!"
Nice mimi naangalia for entertainment tu , nifurahi nafsi yangu iridhike ...Mi sometimes napendaga discovery family, Kuna vipindi ambavyo Kama kijana vinatufaa Sana.
πIdea za biashara
π Engineering
πWarππ