mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
dah, sijitetei ushankamata πUnawaonaga wapi?
ππ nishaelewadah, sijitetei ushankamata π
Kanaitwaje?Hiyo avatar yako inanikumbusha ka movie flan
Kuna ingine inaitwa Bel AirTrue lie
umeshalewa bro waambie wakushikie simu πmshamba_hachekwi mwambie Depal watoto wamelala atupie pic basi tushushie hii grey goose Vodka.
umeshalewa bro waambie wakushikie simu π
ππ kwa mbaliiiiiYap. Kumbe na wewe ni mnoma kabisaπ
Kwa mbali uijue hiyo movie, ungetaja jumong sawa. π€£ We ni pro mwenzanguππ kwa mbaliiiii
hakuna mbabe mbele ya 40 abv usinidanganye πNiko smart sana, nalewa yes but sijawahi yumba. Na huwa sizimiki. Kwanza naywea home. Hiyo chupa moja nakunywa wiki nzima.
πππππππKwa mbali uijue hiyo movie, ungetaja jumong sawa. π€£ We ni pro mwenzangu
Nachanganya kidogo tu, ndio maana nakunywa wikihakuna mbabe mbele ya 40 abv usinidanganye π
Depal tupia pic moja basi mrembo.πππππππ
sasa mzuka ule kuweweseka unapataje πNachanganya kidogo tu, ndio maana nakunywa wiki
Nimewahi kuweweseka? π πsasa mzuka ule kuweweseka unapataje π
sasa raha ya kunywa si ile kuwa tipsy??Nimewahi kuweweseka? π π
Tunatofautia vichwa π mi nikiwa high hata tukikutana huwezi nigundua haraka.sasa raha ya kunywa si ile kuwa tipsy??
ipo siku utakutana na mtungi wa hatari πTonatofautia vichwa π mi nikiwa high hata tukikutana huwezi nigundua haraka.
Nakunywa kwa afya sio kukomoa.ipo siku utakutana na mtungi wa hatari π
Wachaaaa wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]