Umeongea Istanbul nikakumbuka ule usiku wa mwaka 2005 nikakumbuka ule usiku baada ya zile goal 3 ndani ya dk 10 nikavua t-shirt la shule nikafunika TV ilikuwa Muhimbili Hospital aisee nilipigwa kwa kibaka wa simu na Mashabiki wa Nyumbu. My fellow Students at Azania π€£π€£π€£