Mimi pia napenda heka heka!Easy come, easy go!!!
Raha inatokea huko huko kwenye kushughulika.π
Na Ile kupigwa exileππNa kulala kwa masela
Basi tutaringishiana in 2 weeks!!πDr Lizzy ... huku napo nime pa miss .. ingawa ndani ya wiki mbili nitakuwa hukoView attachment 2630680
Ila atazitafuta bado ana mvua mbili na xmas mojaNakazia
Kushindia mihogo π€£π€£Na kupiga pasi ndefuπ
Mzee wa dislike kesho ana testi chuoniππWatoto wa mama wamelala, eti wanaogopa kesho ni j3. π
wee nakula vizuriπ mbeya cheap sanaNa kupiga pasi ndefuπ
I like itBasi tutaringishiana in 2 weeks!!πView attachment 2630685View attachment 2630686View attachment 2630687
Hana bandoMzee wa dislike kesho ana testi chuoniππ
ππ Nlishampisha msela na jimama lake saa saba usiku alafu ndio ilikua Mara yake ya Kwanza kuja kulala kwangu. Usela n ujingaNa Ile kupigwa exileππ
Ila wanaume mna mahangaiko sana
We usije kumchosha mdogo wangu.ππMimi pia napenda heka heka!
Yani nisumbuliwe mpaka Basi
Hivo upele umempata mkunaji
Jaman usiku wote huo ukaenda wapi sasaπ€£ππ Nlishampisha msela na jimama lake saa saba usiku alafu ndio ilikua Mara yake ya Kwanza kuja kulala kwangu. Usela n ujinga
Inaitwa power bank sio mihogoKushindia mihogo π€£π€£
Hapo hapo anataka akapige excel Hostel
Disco ndo mwisho wa reli huyu mdogo etu atafeliπ anaacha kukazana na masomo anakuja kusumbua humu Jana tu nimekula dislike 117Na kucarry juuu
haha kwanini nife nakihoro pisi nikiielewa?We huzichapi au ni good boy?
tuanze kwako basi tuzitumie hela zako, zikiisha tuanze zangu πBasi tutaringishiana in 2 weeks!!πView attachment 2630685View attachment 2630686View attachment 2630687
Nipo chief navizia selfie hapa kimya kimyaMjep umehama kijiwe au nikuletee mzigo nimevuna bilinganya
Ntatupia tu usijali ππ»Tupia ya zamani.