Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,340
- 37,774
You serious ????
sina urembo mie [emoji23][emoji23]
Ukimuona Mamaa la mama mwambie namsalimia sana nimemmiso hadi naumwaaaBantu Lady heri ya jumapili, Neema na Baraka ya Bwana ,iwe nawe....Amen
Dea kwa mambo ya urembo sikuweziiii,
Hahaa umeniona wapiYah
Ww Ni mrembo bana umeumbika kuanzia unyayoni mpka kichwani kila mwanaume anataman kuwa na malkia mrembo kama ww nataka nikuweke ndani mapema
njoo home nikufundishe mambo ya urembo bure tuDea kwa mambo ya urembo sikuweziiii,
Umejaliwa aseeh na unawezaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjomba nasubiria blessings zako hapaanjoo home nikufundishe mambo ya urembo bure tu
Hahaa umeniona wapi
binafsi nipo kawaida sana , demu mmoja mshamba , sina hili wa lile .
nilivyo rough sina urembo kabisa
Demu mshamba ndio wazuri, hawasumbuiHahaa umeniona wapi
binafsi nipo kawaida sana , demu mmoja mshamba , sina hili wa lile .
nilivyo rough sina urembo kabisa
kitanda kipiIla mtundu kitandani
hahaha eti eehDemu mshamba ndio wazuri, hawasumbui
kitanda kipi
sina nalojua huko [emoji23][emoji23]
Njema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..Habari wanaselfika
Asantee namuulizia yule dada anaekula vyakula vizuriiii ila kiduchuu nimesahau handle yakeNjema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..
Amina, asante sana kheri pia kwako mtu chake 🙏Bantu Lady heri ya jumapili, Neema na Baraka ya Bwana ,iwe nawe....Amen
Hapana aisee hayo yana wenyewe .. nayajulia wapi hayo .Mhhh mbona nasikia wapole kama nyie kitandani mnajua kuuchezea mkuyenge wa babu
Picha iko wapi wewe?Njema sana Ndugu mjumbe!! Karibu Tena selfika..