mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
hapo bado tena na saa10π
Hadi nimesikia njaa ghafla[emoji39]
Saa 10 labda a cup of tea/ coffee.hapo bado tena na saa10π
Karibu shemeji
songa ugali mwanaume [emoji23]
na vibiskuti kidogoπSaa 10 labda a cup of tea/ coffee.
shemeji yupo wa kukupikia??πAhaa kupika sio mchezo kijana![emoji28]
shemeji yupo wa kukupikia??[emoji28]
Aweze kuhandle pombe sio analewa anaanza kufanya vituko .kiukweli wanaboa sana mkuu wanapenda savanah na dompo aiseeπ I love girls who can get wasted....
au uskute wewe ndo unamuiba lenieHili swali limekaa kimtego sana ![emoji28]
Karibu ugali acha kula chipsnakuona boss....
ndio maana sishobokei wadada wanaopenda singeli, wakilewa hawafai πAweze kuhandle pombe sio analewa anaanza kufanya vituko .
Wapo wanambembeleza mjomba kagoma kulipa ada
au uskute wewe ndo unamuiba lenie
nina mwaka sasa sijala chips... nakula tu chips dumeπKaribu ugali acha kula chips
Wapo wanambembeleza muomba kagoma kulipa ada
haina makombo babuπ may the best man winπNamuiba au naibiwa?[emoji28]
haina makombo babu[emoji23] may the best man win[emoji23]
mshamba_hachekwi tunaibanaNamuiba au naibiwa?[emoji28]
Mtoto wa shule huyoKimbe we ndio mwizi wangu[emoji28]