mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
pambania sasa πVihela vya crown athlete sio ποΈπππ
Daaah noma sana,
Mzungu wako yuko fresh kabisa, anasubiria nikupitishe!πoh! Hongera Sana.
Pambana!!
Niko poa pia.
Hofu kwa mzungu wangu tu
Mbona kama tunaendanaHi darlings.
Mi nawafatilia sana watu wa humu.
Asanteni kwa kutubless na picha zenu.
Mi sio mkaaji ila nimepita tu kuwasalimia na kuwabless kidogo.
Kuna wadada nawapenda humu ila naogopa kuwatag.
Haya mbaki salama.
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
kijana hucheleweshiπalikuambia alikuw na mimi hapo kwenye pichaπ€£
basi yaishe πMs eyes njoo huku. Huyu kijana kafa kaozaπ
Asante dear ila mi bado mshamba sijui jins ya kuja pm mwayaMbona kama tunaendana
Wahi pm Nina maua yako afu una jina zuri la kimahaba
washamba wawili tumekutanaπAsante dear ila mi bado mshamba sijui jins ya kuja pm mwaya
huu ni wa picha, nina imani kazi bado haijaanza π
We unazani hiyo robo tatu iliyobaki inaenda wapi!??π«£πhuu ni wa picha, nina imani kazi bado haijaanza π
unavuta timing baadae when no one is watching πWe unazani hiyo robo tatu iliyobaki inaenda wapi!??π«£π
Safiiii sana jirani
AiseeVihela vya crown athlete sio ποΈπππ
Daaah noma sana,
Nikishapiga picha tu navuta sahani yangu ya ukweli.πunavuta timing baadae when no one is watching π
Usiku mwemaAsante dear ila mi bado mshamba sijui jins ya kuja pm mwaya
ndio style yako ya kukataa wanaume. NaonπAsante dear ila mi bado mshamba sijui jins ya kuja pm mwaya