Selfika na JF: Snap it. Show it

Am not what you would call a computer techie, sema upo vizuri.

Unaweza kuta Mac ya mwaka 2017 ikawa na perfomance sawa na ya 2020, utofauti ukawa wameboresha battery life/battery perfomance, M chip zipo vizuri kwenye battery perfomance kuliko intel,lakini perfomance Intel is the best.
 
Tayari iko kwa gallery πŸ˜…
 
Au basi nimechanganya ma file ngoja niangalie vizuri 😁😁😁😁😁😁😁
Tena sana umeyachanganya. Kaangalie upya. Mimi sina huyo mtu kabisa. Ila mdogo wangu, una shughuli hivi huwa unalala? Na una mafile ya wengi miye yangu macho hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tena sana umeyachanganya. Kaangalie upya. Mimi sina huyo mtu kabisa. Ila mdogo wangu, una shughuli hivi huwa unalala? Na una mafile ya wengi miye yangu macho hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Wala mbona sina ila kuna unaniliuuu,,,,,,

Nilikuwa naniliiiu, sema acha nirudi kule naniliiiu, nipate correct info, πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘Œ


shaimpepe
 
β˜ΊοΈπŸ˜ƒ

True!! And You are absolutely right about πŸ”‹ life....sio kila mahali ukifika unaanza ku-target power outlet ilipo ndio ujibanze. 😁😁

I used to be an Intel person aswell, ila experience yangu na🍏 imenifanya nione huku kwingine kunanichosha flani hivi, especially kwa kazi zangu...😏, so nataka kurudi niendelee nao mpaka pale mapenzi yetu yatakapoisha!πŸ˜€
 
😁 Natumia Mac yenye intel, nimeweka windows, nachagua kipindi ina boot nitumie OS ipi, si unafahamu boot camp?
 
Not really! Embu nipe darasa kidogo...βœοΈπŸ“– πŸ€“
boot camp assistant ni software ipo inakuja na mac os, inakuwezesha kuinstall windows na ni officially allowed by apple wenyewe, its too easy kuinstall kuliko hata Windows kwenye PC(hp, dell n.k).

Unakuwa una switch OS utumie Mac OS ama Windows unapo restart machine, kwa kufahamu zaidi tafuta youtube "how to install windows on Mac"

Napeda hii cause kwenye windows huku kuna softwares cracked za kutosha😁,

Kuna software nyingi unakuta kwenye Mac lazma ununue, niki switch windows nazikuta cracked kibao torrents n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…